Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2021

STORY NZURI ZA KUFURWHISHA

hiiNataka kupost kwa njia ya kucopy na kupaste

MESEJI ZAKUMTUMIA MPENZI WAKO

Daima hujawahi shindwa kunifanya nitabasamu wakati wote.Najikuta nikishindwa kujizuia kutabasamu kila ninapofikiria kukuona ukirudi toka kazini.Wewe ni wangu, kipenzi cha nafsi yangu.Ninakuthamini sana mpenzi.Unanifanya nijisikie mwenye bahati sana kuliko wote.Natamani nikupe mabusu mazito kila ninapokuona.Nataka niamke pembeni yako siku zote za maisha yangu.Wewe ni mcheshi san

MESEJI NZURI ZAKUMTUMIA MPENZI WAKO AKUPENDE

Hata milele hainitoshi kuwa na wewe.Natamani ungekuwepo hapa ukanishika mkono na ukanivuta kwako.Nimekuwaza siku nzima. Ahsante kwa usiku mzuri kama ule.Sikuwahi kujua kuwa unaweza kummiss mtu hata kabla hajaondoka, mpaka nilipokujua wewe ndio nikaamini.Maisha yetu pamoja ni tafsiri ya upendo.Natumai uko na siku njema, mwenzio nashindwa kuacha kukuwaza muda wote.

MESEJI NZURI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO ILI AZIDI KUKUPENDA

Kila saa wewe ndiye chaguo langu.Unanifanya nijiamini sana mpenzi.Wewe ndiye baraka kubwa niliyowahi kuipata.Wewe ni mzuri sana aisee.Nikikuwaza tu, hata niwe na siku mbaya, itageuka kuwa nzuri tuMoyo wangu unakuhitaji sana sasa.Ninatamani ungekuwepo hapa na mimi.Ninavyokupenda jamani, acha tu!Ninajihisi mwenye bahati sana kukupata wewe kama rafiki wa karibu na mpenzi pia.

MTUMIE MPENZI WAKO MESEJI HIZI NZURI

Wewe ni kila kitu kwangu.Nitateseka bila wewe.Ninataka nikwambie tu kuwa ninakuwaza muda wote.Ninatamani kuwa mikononi mwako muda wote.Ninakupenda zaidi ya unavyofikiria.Unafanya mapigo ya moyo wangu yaende mbio nikikuona.Najisikia vizuri mno nikikuwaza mpenzi.Ninajihisi salama nikiwa nawe.Nikiwa mikononi mwako ninajihisi nimefika!Ulishaubeba moyo wangu na sitaki uurudishe.