MTUMIE MPENZI WAKO MESEJI HIZI NZURI
Wewe ni kila kitu kwangu.Nitateseka bila wewe.Ninataka nikwambie tu kuwa ninakuwaza muda wote.Ninatamani kuwa mikononi mwako muda wote.Ninakupenda zaidi ya unavyofikiria.Unafanya mapigo ya moyo wangu yaende mbio nikikuona.Najisikia vizuri mno nikikuwaza mpenzi.Ninajihisi salama nikiwa nawe.Nikiwa mikononi mwako ninajihisi nimefika!Ulishaubeba moyo wangu na sitaki uurudishe.
Maoni
Chapisha Maoni