Hata milele hainitoshi kuwa na wewe.Natamani ungekuwepo hapa ukanishika mkono na ukanivuta kwako.Nimekuwaza siku nzima. Ahsante kwa usiku mzuri kama ule.Sikuwahi kujua kuwa unaweza kummiss mtu hata kabla hajaondoka, mpaka nilipokujua wewe ndio nikaamini.Maisha yetu pamoja ni tafsiri ya upendo.Natumai uko na siku njema, mwenzio nashindwa kuacha kukuwaza muda wote.
Nzuri
JibuFuta