Kila saa wewe ndiye chaguo langu.Unanifanya nijiamini sana mpenzi.Wewe ndiye baraka kubwa niliyowahi kuipata.Wewe ni mzuri sana aisee.Nikikuwaza tu, hata niwe na siku mbaya, itageuka kuwa nzuri tuMoyo wangu unakuhitaji sana sasa.Ninatamani ungekuwepo hapa na mimi.Ninavyokupenda jamani, acha tu!Ninajihisi mwenye bahati sana kukupata wewe kama rafiki wa karibu na mpenzi pia.