MESEJI ZAKUMTAMKIA MPENZI WAKO USIKU MWEMNajiuliza kila Leo hivi ni Mimi tu kimeo katika dunia hii yaleo maana kila Leo ninaye mpata haishi kunipa ahadi kila Leo mpenzi kila siku waniahidi mala nitakupa Leo mala kabla ya mchweo hivi ni lini utanipa jibu la uhakika na kunipa mapenzi ya uhakika nipate kufarijika akupenda zaidi ya almasi inayochimbwa ardhini sipendi nikupoteze nikajutia moyoni naitaji nikuenzi kama mboni yangu jichoni Moyo unasikitika autoacha daima machozi yatiririka si usiku wala mchana huzuni imenishika kwa vile sijakuona I LOVE YOU BABYA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MTUMIE MPENZI WAKO MESEJI HIZI NZURI

MESEJI NZURI ZAKUMTUMIA MPENZI WAKO AKUPENDE